Lucas Perez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Arsenal baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 71 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nottingham Forest kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa City. Perez alifunga bao lingine dakika ya 60, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka dakika ya 23 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 93 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment