Cesc Fabregas akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 92 na 94 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa King Power. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Gary Cahill dakika ya 47 na Cesar Azpilicueta dakika yav 49, wakati ya Leicester yalifungwa na Shinji Okazaki dakika ya 17 na 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment