Washambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney na Zlatan Ibrahimovic wakiwa wanyonge baada ya timu yao kufungwa mabao 3-1 na wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Watford yalifungwa na Etienne Capoue, Juan Camilo Zuniga na Troy Deeney kwa penalti, huku la United likifungwa na Marcus Rashford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment