Kiungo wa Chelsea, Willian akimvisha kanzu kipa wa Bournemouth, Boruc kumalizia pasi ya Fabregas kuifungia Chelsea katika ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro, Hazard mawili na Willian, huku la wenyeji likifungwa na Elphick Uwanja wa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment