MAPOZI MENGINE YA ERASTO NYONI, NI KUVUNJANA MBAVU TU!
Beki wa Azam FC, Erasto Edward Nyoni (kushoto) akiwa kwenye ndege jana usiku wakati wa safari ya kwenda Mwanza. Kulia ni kiungo wa timu hiyo, Ramadhani Singano 'Messi'. Azam FC imepitia Mwanza kuunganisha usafiri wa basi kwenda Mwadui kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup kesho Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment