Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia Victor Costa, Ulimboka Mwakingwe na Juma Kaseja wakisaini fulana za klabu hiyo wakati wa mapokezi yao wakitoka mjini Cairo, Misri mwaka 2003 ambako waliitoa Zamalek ya huko katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kukata tiketi ya kucheza hatua ya makundi, hiyo ikiwa mara ya pili na ya mwisho Tanzania kufikia hatua hiyo baada ya Yanga kuwa ya kwanza mwaka 1998
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment