Kiungo wa kimataifa wa Brazil, Roberto Firmino wa Liverpool akimiliki mpira mbele ya beki wa Newcastle, Paul Dummett katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya 2-1. Liverpool ilitangulia kwa mabao ya Daniel Sturridge na Adam Lallana, kabla ya Newcastle kusawazisha kupitia kwa Papiss Cisse na Jack Colback PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment