Winga wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mechi ya Kombne la Hedex Juni 30, mwaka 1996 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Yanga SC ilishinda 2-0 mabao ya Bakari Malima na Lunyamila
0 comments:
Post a Comment