KIIZA 'DIEGO' ALIVYO 'TAYARI TAYARI' KWA AJILI YA YANGA JUMAMOSI TAIFA
Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akiwa Uwanja ambao klabu hiyo inafanyia mazoezi mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment