Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Radja Nainggolan wa AS Roma katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Itali. Real imeshinda 2-0 mabao ya Ronaldo na Jese Rodriguez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment