Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao lake la 300 katika Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga dakika ya 25 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa El Molinon usiku wa leo. Messi alifunga pia la 301 dakika ya 31, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 67 ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo, huku la wenyeji likifungwa na Castro Garcia dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment