Mshambuliaji wa Crystal Palace, Emmanuel Adebayor akimuacha chini kiungo wa timu yake ya zamani, Tottenham Hotspur, Mousa Dembele katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England leo Uwanja wa White Hart Lane. Palace imeshinda 1-0, bao pekee la Martin Kelly na sasa wanaingia Robo Fainali ya michuano hiyo ya Chama cha Soka England, huku safari ya Spurs ikiishia hapo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment