MOGELLA WAWILI WALIOCHEZA PAMOJA SIMBA SC, KABLA YA KUHAMIA YANGA
Nahodha wa Simba SC, mshambuliaji Zamoyoni Mogella (wa pili kulia) akimtambulisha mchezaji mwenzake, kiungo Method Mogella (kushoto), sasa marehemu kwa mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Tanzania, John Samuel Malecela kabla ya mechi ya klabu hiyo mwaka 1991 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mogella hao wote walicheza na Yanga pia baadaye.
0 comments:
Post a Comment