• HABARI MPYA

    Tuesday, March 17, 2015

    YANGA NA KAGERA SUGAR PATACHIMBIKA TAIFA KESHO

    Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
    LIGI Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho (jumatano) kwa viwanja vitatu kutimua vumbi, Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, Yanga SC watawakaribisha Kagera Sugar mchezo utakaoanza majira ya saa 10 kamili jioni.
    Jijini Tanga maafande wa Mgambo Shooting watakua wenyeji wa Simba SC katika mchezo utakaofanyika uwanja wa Mkwakwani, huku jijini Mbeya wenyeji Mbeya City watawakaribisha timu ya ya Stand United kutoka mkoani Shinyanga kwenye uwanja wa Sokoine.
    Kagera Sugar wana kazi na Yanga SC kesho Taifa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA KAGERA SUGAR PATACHIMBIKA TAIFA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top