
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akishangiliaa baada ya kuifungia timu yake mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Eibar mchezo wa La Liga usiku huu. Barca sasa inaongoza Ligi ya Hispania kwa pointi nne zaidi dhidi ya Real Madrid, wenye pointi 61, ingawa wana mchezo mmoja mkononi.
Messi akiwatoka wachezaji wa Elbar leo
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2994980/Eibar-0-2-Barcelona-Lionel-Messi-double-keeps-pressure-Real-Madrid.html#ixzz3UOarVgcE


.png)
0 comments:
Post a Comment