REAL Madird imezinduka na kuichapa mabao 2-0 Levante katika La Liga usiku huu Uwanja wa Bernabeu.
Winga wa Wales, Gareth Bale ndiye aliyefunga mabao yote, la kwanza dakika ya 18 na la pili dakika ya 40 baada ya kufumua shuti lililombabatiza Cristiano Ronaldo pembezoni mwa kona ya nyavu.
Ronaldo hakuonekana kufurahia bao la kwanza la mwenzake, Bale katika usiku mgumu kwa Mwanasoka huyo bora wa Dunia. Luka Modric alianza kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Real Madrid tangu aumie November.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Navas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric/Illarramendi dk78, Silva, Isco/Jese dk69, Bale, Benzema/Hernandez dk82 na Ronaldo.
Levante; Marino; Lopez, Navarro, Ramis, Tono, Camarasa, Simao, Xumetra/Garcia dk59, Barral, Morales/El Zhar dk59 na Uche/Casadesus dk75.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2996095/Real-Madrid-2-0-Levante-Gareth-Bale-ends-goal-drought-double-cupping-ears-Bernabeu-crowd-Carlo-Ancelotti-s-team-warm-El-Clasico-comfortable-win.html#ixzz3UUzYduDK

Gareth Bale akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 wa Real Madrid usiku huu Uwanja wa Bernabeu. Bale alifunga na la pili pia.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2996095/Real-Madrid-2-0-Levante-Gareth-Bale-ends-goal-drought-double-cupping-ears-Bernabeu-crowd-Carlo-Ancelotti-s-team-warm-El-Clasico-comfortable-win.html#ixzz3UUzYduDK

.png)
0 comments:
Post a Comment