Wachezaji wa Barcelona wakiwa hawaamini macho yao baada ya kuchapwa 1-0 na Athletic Bilbao bao pekee la mshambuliaji Mspaniola, Inaki Williams mwenye asili ya Ghana dakika ya 90 na ushei, sekunde chache baada ya Lionel Messi kukosa bao la wazi kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mamés Barria mjini Bilbao, hivyo kutolewa kwenye michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment