MANAHODHA wa timu mikoa ya Dar es Salaam (kulia) na Arusha (kushoto) wakiwa na marefa kabla ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Taifa ‘Taifa Cup’ mwaka 1992 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Kutoka kulia na wachezaji wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ Abeid Mziba, Suleiman Pembe, marefa Cosmas Mkonda Opuku wa Mara (marehemu), Abra Mwakapugi wa Shinyanga (marehemu), Nassor Hamdoun wa Kigoma, Said Almasi wa Mwanza (marehemu) na wachezaji wa Arusha ‘Meru Warriors’ Rashid Iddi Chama na Suleiman Mathew Luwongo. Meru Warriors ilishinda 2-0, mabao ya Feruzi Juma na Said Mrisho ‘Zico wa Kilosa’ (marehemu).
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment