TWIGA STARS YAENDA TUNSIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE, UNAF ILIYOANDALIWA NA WENYEJI
Kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars kimeondoka usiku wa kuamkia leo kwenda Tunisia kwenye mashindano ya UNAF inayotarajiwa kuanza kesho (Februari 13) hadi 23, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment