Wachezaji wa Borussia Dortmund wakimpongeza mwenzao Erling Haaland baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 69 na 77 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paris Saint-Germain usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ta Mabingwa Ulaya. Bao pekee la Paris Saint-Germain lilifungwa Neymar dakika ya 75 na sasa timu hizo zitarudana Machi 11 Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
All you need to know about Sports Personality of the Year 2025
-
BBC Sport has everything you need to know about BBC Sport's Personality of
The Year 2025 and how to vote.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment