Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 12 na Ilkay Gundogan dakika ya 86, wakati la Man United limefungwa na Anthony Martial kwa penalti dakika ya 58, baada ya Romelu Lukaku kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Highlights: Wales 2-1 Norway
-
Watch the best of the action as Wales come from behind to beat Norway 2-1
in the Nations League.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment