• HABARI MPYA

  Friday, December 02, 2016

  JESUS ATUA MANCHESTER TAYARI KUANZA KAZI CITY

  Mcheza chipukizi wa Brazil, Gabriel Jesus (kushoto) baada ya kuwasili mjini Manchester jana, miezi mitatu tangu akubali kuhamia klabu ya Manchester City ya England kutoka Palmeiras ya kwao. Mshambuliaji huyo aliyesaini Man City mwanzoni mwa msimu, kwa wiki atakuwa mjini humo kufahamiana na wachezaji wenzake wapya kisha ataondoka kabla ya kurejea Januari kuanza kazi rasmi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JESUS ATUA MANCHESTER TAYARI KUANZA KAZI CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top