• HABARI MPYA

    Sunday, March 15, 2015

    WADAU WALIVYOUAGA MWILI WA KOCHA MARSH LEO MUHIMBILI

    Beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' (kushoto) akivuta jeneza la aliyekuwa kocha wa timu za taifa kuanzia za vijana hadi za wakubwa nchini, Sylvester Marsh leo katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Marsh alifariki jana hospitalini hapo na anatarajiwa kusafirishwa leo kwa basi dogo aina ya Coaster kupelekwa Mwanza kwa mazishi kesho.

    Mdau Abdulfatah Salim wa Sapphire Court Hotel kulia akiuaga mwili wa marehemu kanisani

    Ally wa Yanga naye alikuwepo kumuaga kocha Marsh 

    Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' naye alikuwepo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WADAU WALIVYOUAGA MWILI WA KOCHA MARSH LEO MUHIMBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top