MTOTO HUYU ATAKUJA KUPENDA TIMU NYINGINE TOFAUTI NA YANGA?
Mpenzi wa Yanga SC, Yusuphed Mhandeni (kushoto) akiwa na binti yake. Rahma wakiingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hivi karibuni katika mchezo dhidi ya Platinum Kombe la Shirikisho Afrika, ambao timu yake ilishinda 5-1. Unadhani mtoto huyo akikua atapenda timu tofauti zaidi ya hiyo aliyorithishwa na baba yake?
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment