Beki wa timu ya taifa ya wanaume ya Tanzania, 'Taifa Stars', Hassan Ramadhani Kessy (kushoto) akiwa na mpenzi wake, Asha Rashid 'Mwalala', mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' nyumbani kwao Jijini Dar es Salaam kipindi hiki michezo imesitishwa kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment