Kipa wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata akiwa na mipira yake wakati wa mazoezi yake binafsi jana ufukweni mwa Bahari ya Hindi Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitsha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona dunia nzima vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment