KIPA MKONGWE JUMA KASEJA ANAVYOJIFUA PEKE YAKE KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI ZAIDI NA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA SOKA
Kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja anayechezea KMC ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam akiruka juu kudaka mpira wakati wa mazoezi yake binafsi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: KIPA MKONGWE JUMA KASEJA ANAVYOJIFUA PEKE YAKE KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI ZAIDI NA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA SOKA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment