Mshambuliaji mpya, Theo Walcott aliyesajiliwa kutoka Arsenal dirisha dogo akishangilia baada ya kuifungia Everton mabao yote dakika za 25 na 39 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City Uwanja wa Goodison Park. Bao la kufutia machozi la Leicester City limefungwa na Jamie Vardy dakika ya Uwanja wa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment