Roberto Firmino (kushoto) akinyoosha mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 31 na 48 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The American Express Community mjini Falmer, East Sussex. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Emre Can dakika ya 30, Roberto Firmino dakika ya 87 na Lewis Dunk aliyejifunga dakika ya 89 kufuatia kubabatizwa na mpira wa Coutinho. Bao la wenyeji, Brighton & Hove Albion limefungwa na Glenn Murray kwa penalti dakika ya 51 baada ya Shane Duffy kuchezewa faulo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joshua stops Paul in six rounds in Miami mismatch
-
British heavyweight Anthony Joshua needs six rounds to stop boxing novice
Jake Paul, who spends much of the contest in survival mode.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment