Mshambuliaji Raheem Sterling (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Kevin De Bruyne baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 29 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Vitality. Bao la pili lilifungwa na Tyrone Mings aliyejifunga baada ya kazi nzuri ya Sergio Aguero dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment