Mario Balotelli akiondoka uwanjani kinyonge baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu na refa Tony Chapron dakika ya 65 jana, hiyo ikiwa mara ya tatu tangu ahamiw Ufaransa msimu huu katika mchezo dhidi ya wenyeji, Lorient jana Uwanja wa Yves Allainmat mjini Le Moustoir. Nice ilishinda 1-0 hata hivyo, bao pekee la Wylan Cyprien dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment