Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 3- dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 72 na Diego Costa dakika ya 84, wakati la Swansea lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment