Harry Kane akishangilia baada ya kufunga mabao matatu katika dakika za 14, 32 na 37 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa White Hart Lane. Bao lingine la Spurs lilifungwa na Dele Alli dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment