Mshambuliaji Mreno wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kukifungia kikosi cha kocha Zinedine Zidane dakika ya 24 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Osasuna usiku wa jana Uwanja wa El Sadar, Pamplona, Irunea kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Francisco Roman Alarcon Suarez 'Isco' dakika ya 62 na Lucas Vazquez dakika ya 90 na zaidi, wakati la Osasuna lilifungwa na Sergio Leon dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi to receive honorary doctorate ahead of Argentina farewell
-
Lionel Messi is set to receive an honorary doctorate from the University of
Buenos Aires (UBA) in recognition of his illustrious football career and
cont...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment