‘MACHEKI BOB’ JULIO, MGUNDA NA AMLIMA KAMBINI TAIFA STARS 1994
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, beki Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ (kushoto) na washambuliaji Juma Mgunda (katikati) na Idelphonce Amlima (kulia) wakiwa kwenye kambi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Jeshi la Wokovu mwaka 1994
0 comments:
Post a Comment