Mshambuliaji anayetakiwa na Manchester United, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Fernando Torres dakika ya 11 na Yannick Carrasco dakika ya 86, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Gustavo Cabral dakika ya tano na John Guidetti dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment