Kiungo wa Bayern Munich, Thiago akiwaongoza wenzake kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 56 na 63 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Arsenal usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Arjen Robben dakika ya 11, Robert Lewandowski dakika ya 53 na Thomas Muller dakika ya 88, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 30, ambaye pia alikosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment