Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akijilaumu baada ya kukosa penalti iliyotolewa baada ya Ljubomir Fejsa kuunawa mpira kwenye boksi usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya wakifungwa 1-0 na wenyeji, Benfica Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno bao pekee la Kosta Mitroglou dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment