Shkodran Mustafi wa Arsenal akimvuta jezi Troy Deeney wa Watford (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London. Watford ilishinda 2-1 ugenini mabao yake yakifungwa na Younes Kaboul dakika ya 10 na Deeney dakika ya 13, wakati la Arsenal lilifungwa na Alex Iwobi dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment