Mtoto wa kocha Zinadine Zidane wa Real Madrid, Enzo Zidane (kulia) akipongezwa na mwenzeke baada ya kufunga bao lake la kwanza timu hiyo katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Cultural Leonesa kwenye mchezo wa 32 Bora Kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Bernabeu. Real inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 13-2 baada ya awaoi kushinda 7-1 ugenini. Mabao mengine ya Real jana yalifungwa na Mariano Diaz matatu, James Rodriguez na Cesar Morgado aliyejifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Darts star thrown out of World Championship after failing drugs test
-
Taylor, 27, cruised to a 3-0 win over Oskar Lukasiak on his Alexandra
Palace debut last Sunday and was due to face Jonny Clayton in the second
round of the...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment