Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi ikiilaza Ludogorets 3-2 katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Arsenal yalifunga na Granit Xhaka na Ilivier Giroud, wakati ya Ludogorets yalifungwa na Jonathan Cafu na Claudiu Keseru PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment