Wachezaji wa Manchester City, kiungo David Silva (kushoto) na beki John Stones (katikati) wakifurahia wakati wanaungana na Kevin De Bruyne (kulia) kushngilia naye wakati wa mechi ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona ya Hispania usiku huu Uwanja wa Etihad. Mabao ya City yalifungwa na Ilkay Gundogan mawili na Kevin De Bruyne moja, wakati la Man City lilifungwa na Lionel Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment