Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akikimbia na mpira kuurudisha katikati uanze tena baada ya kuisawazishia Manchester United bao dakika ya 21 katika sare ya 1-1 na West Ham United leo Uwanja wa Old Trafford kufuatia Diafra Sakho kutangulia kuwafungia wageni dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment