Nahodha wa Nigeria, John Obi Mikel akiwa amejiinamia baada ya kufungwa 2-0 na Ujerumani katika Nusu Fainali ya Michezo ya Olimpiki jana mjini Sao Paulo, Brazil. Mabao ya Ujerumani ambayo sasa itamenyana na Brazil katika fainali Jumamosi Uwanja wa Maracana, yalifungwa na Lukas Klosertmann na Nils Peterson PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment