Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Man United ikishinda 2-0 dhidi ya Southampton usiku huu Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ibrahimovic ndiye aliyeifungia bao la pili pia timu ya kocha Mreno, Jose Mourinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment