Kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, maarufu kama Serengeti Boys kikiwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar kabla ya moja ya mechi zao za michuano ya Afrika Mashariki na Kati iliyofanyika visiwani humo mapema mwaka 2004. Wa kwanza kushoto aliyesimama ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Subira Mambo (sasa marehemu).
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment