Sam Vokes akifumua shuti kuifungia Burnley bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Turf Moor kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la pili lilifungwa na Andre Gray dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment