Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Willian na Victor Moses PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment