Nyota wa zamani wa Chelsea, Mohamed Salah akiifungia bao la ushindi AS Roma ikiilaza 2-1 Liverpool katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini St Louis. Bao lingine la Roma lilifungwa Edin Dzeko, wakati la Liverpool lilifungwa na Sheyi Ojo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment