Mshambuliaji Luis Suarez (katikati) akiifungia Barcelona bao la pili katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Leicester City mjini Stockholm usiku wa kuamkia leo. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Munir mawili na Rafa Mujica, wakati ya Leicester yote yamefungwa na Ahmed Musa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2027: Wike tasks Rivers leaders with grassroots mobilisation for Tinubu,
sets conditions for resignation
-
• says political differences must give way to collective interest From
Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja Minister of the Federal Capital Territory
(FCT), Nye...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment